Monthly Archives: August, 2013

MDORORO WA UHUSIANO NA MTANGAMANO WA AFRICA MASHARIKI NI UBINAFSI?

Wiki hii baada ya Marais wa Kenya Uganda, Rwanda kuhudhuria ufunguzi wa bandari ya Mombasa imekuwa wazi kabisa hapa kuna uhasama waaina yake. Ukizingatia mshikamano ktk hoja ya kuhakikisha Bunge la Afrika Mashariki lizafanya vikao vyake kwa kuzunguka nalo limeleta maoni tofauti kabisa kwangu.

Hoja ni rahisi, bunge hili lilikuwa la mzunguko badae likasitihwa. kwanini walisitisha?? sababu zilizo wafanya wasitishe ni zipi?? hazipo tena sasa?? Nani alisitisha?? ilikuwa nikwa lazima?? kwanini uungwaji mkono ufanane na ule wa ufunguaji wa bandari na kikao kile kilichofanyika Uganda??

Kwanini pia mambo haya yote yameanza mwaka huu na hayakuwa bayana kabla ya mwaka huu??

 

Advertisements