HUKU NI KUNUSURU AU KUUA ELIMU NCHINI???

Tanzania Kupitia waziri wa nchi Sera Ndugu Lukuvi imetangaza kufutwa kwa matokeo ya kidato cha nne mwaka 2012 kwakuwa vijana walifwli sana.
Baraza la Mawaziri chini ya uenyekiti wa Muheshimiwa Rais Kikwete imeona nivema kuhakikisha shule zetu zinajaa vijana tena. Kama ilivyoamriwa mtihani wa darasa la nne na kidato cha pili ufutwe ili wote waweze kumaliza madarasa yao bila bugdha. Leo tunarudia palepale kuhakikisha tunapata watoto watakao weza jaza shule zetu. Tuwape watoto matokeo wanayopenda kuyaona na kusikia. Haya maajabu utayapata Tanzania tu.

baraza la mitihani linatakiwa kusahisha mtihani upya. Najiuliza watatumia nini??? kama hawa vijana wamefundishwa kwa mtaala wa namna yapekee ukilinganisha na miaka minginehuo munaouita Compitence based na mtihani ulitungwa kwa namna hiyo na Marking scheme nayo ilitungwa kwa mtindo huo pia sasa huo usahishaji utakuwaje?? watatumia muhtasari gani?? watatumia marking scheme ipi?? kwa mamtiki ipi?? Mie nawaza tu!!!!

Wengine wakisema nchi hii haina mtaala tunalalama nakusema ndo kazi ya wapinzani.

kimantiki hapa kama Baraza likitumia mtindo huo tutarajie watu zaidi kufeli kama kweli watasahisha, na wakifaulu tu ujue kuna kasoro kubwa kimantiki haitakuja kamweeeee.

 

sababu za kufeli nizakihuni na zinautata sana sana. Kama ni hizo nani hakuzijua??? Kama unasema tatizo ni kuongezeka kwa idadi ya watoto toka 400,000 had 8,000,000 unataka kujenga hoja kuwa wakiongezeka watu kimantiki lazima wafeli??? hapo kati ambapo matokeo yalikuwa mazuri wakati kiasi cha watahiniwa kinaongezeka nacho watakisemeaje???

 

Duhhhhhhhhhhhhhhhhh Nimechoka kuandika, waungwana munasemaje????

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: