Monthly Archives: March, 2013

TANZANIA BILA ELIMU INAWEZEKANA Tanzania without Education is Possible

  • Do not worry,no matter how and when, we shall reach there!!!!!!!!
  • If you do not know where you are going anyway can take you there!!!!!!!!!

The former minister for education in Tanzania has written an open letter urging the government to back to archived material that he proposed and worked for to revamp the education sector in Tanzania  He says his materials were classified to be archival material before its due time. at his time the failures were reduced from 24% to 10% 0f all candidates while immediate from his service, the failures have been hiking at a galloping rate. to him the Commission of Prime Minister Pinda will come out with nothing cause the ministry has everything to solve the problem.

BARUA YA WAZI YA Joseph J.Mungai( MB mstaafu )
P.O.BOX 34 Mafinga
S: 0753 192999 BP: jjmungai@tatepa.com

BARUA YA WAZI KWA TUME YA ELIMU
YA KUFELI 60% MTIHANI WA KVI 12012
ILIYOTEULIWA NA MHE WAZIRI MKUU

29/03/2013

Kumb Na. JJM/2013/ELIMU/19

Kwa Mwenyekiti
Tume ya Elimu ya Kufeli KIV
Ofisi ya Waziri Mkuu
DAR ES SALAAM

Ndugu Mwenyekiti
KUONGEZEKA WANAOFELI KIV KUTOKA 9.7% MWKA 2007 HADI 60% 2012
1.1 Nnawapongeza kwa kuteuliwa na ahsante kutupa fursa wadau fwa elimu kuwaletea maoni na au/ushauri.
2.0 Mimi ni mdau wa elimu, niliyewahi kuwa Mwenyekiti mwanzilishi wa Mufindi Education Trust (MET) iliyoanzisha katika wilaya ya Mufindi na kuziendesha kwa mika zaidi ya 10 Sekondari 9 za: (1) JJ Mungai (2) Sadani ( 3) Itengule ( 4) Igowole ( 5) Itandula ( 6) Mgololo ( 7 ) Kibengu ( 8) Mdabulo na ( 9) Nyololo; ambazo sasa ni za serikali. Aidha nimewahi kuwa waziri wa Elimu na Utamaduni mwaka 2000 hadi 2005.
3.0 Kabla ya kutoa ushauri naoba kuipa Tume yako ufahamu wa ukweli ufuatao:
3.1 Kufeli mwaka 2012 kidato cha Nne (KIV) kwa asilimia 60 halikuwa tukio lililoibuka ghafla bali waliofeli ( Division 0) mtihani huo waliongezeka kutoka mwaka 2007:9.7% ; 2008:16.3%; 2009:27.5%; 2010:49.6%; 2011:46.4% na sasa 2012:60%!!!!!
3.2 Kabla ya hapo waliofeli kidato cha Nne (KIV) WALIPUNGUA kutoak mawka 1998:24:3%:; 1999:20.0% 2000:21.6% 2001:22.6%, 2002:12.7%; 2003:12.2%, 2004:8.7%, 2005:10.7%, 2006:10.9%, na 2007:9.7% wastani wa kufeli 2004 hadi 2007 ni 10%. Tazama hotuba ya bajeti ya Waziri wa Elimu na Utamaduni ya mwaka 2005/2006 kielelezo Na. 75.4 ukurasa wa 100; na BEST ( Basic Statics in Education, National Data) ya miaka husika.
3.3 Kati ya 2004 na 2007 waliofeli kidato cha Nne walikuwa wastani wa 10% ambayo inavumilika. Kwa nini kati ya 2007 na 2008 kulikuwa na mruko kutoka 9.7% hadi 16.3%? Huo ukawa ndio mwanzo wa kuonge zeka kila mwaka hadi kufikia 60% ya mwaka huu!!!!! Wizara ya Elimu na OWM-TAMISEMI baada ya matokeo mabaya ya mwaka 2010 walifanya “utafiti kudadisi sababu za ufaulu huo mbaya” na taarifa yake ipo kwenye maktaba a Wizara” na iliandaliwa kauli ya waziri isomwe Bungeni”, lakini hadi leo haikusomwa. Ukweli ulifichwa; na mficha ugonjwa kifo kitamuumbua. Nukuu zangu kutoka Taarifa moja isiyo ya siri ya ndani ya wizara ya Elimu.
4.0 Kwa maoni yangu maboresho ya Elimu ya Serikali ya Awamu ya Tatu ambayo yanaweza kusomwa katika maandiko mawili ya Wizara ya Elimu yaitwayo: (a) Nyaraka za Elimu 1999 hadi 2005, na ( b) Sheria ndogo za Elimu au kanuni za Elimu zilizotungwa kuyapa maboresho hayo uzito w akisheria yamepelekwa NYARAKA ZA KALE (ACHIVES) kabla ya wakati wake. Maboresho yamewekwa kando moja baada ya jingine au hayakusimamiwa ipasavyo na Elimu yetu imerudi ilivyokuwa kabla ya mwaka 2000.
USHAURI:
5.0 Kwa kuwa Elimu ni nyenzo muhimu sana kuliko zote katika kuboresha nguvu kazi ya Taifa na kucho cchea maendeleo ya nchi nimeamua kutonyamaza na kuwa muwazi kabisa, ingawaje mimi ni mwanasiasa niliyestaafu. Kwa hiyo NASHAURI mambo yafuatayo:
5.1 Utaratibu sahihi wa kupanda madarasa kwa ufaulu ( achievement based progression) uliowekwa na waraka wa Elimu Na. 1& 2 wa 2002 urejeshwe na uimarishwe bila kuchelewa kuasnzia Darasa la kwanza, la pili na la Tatu ambayo Mwalimu Mkuu siku zote anayo madaraka ya kukalilisha, kama mwanafunzi hajazijua “K” 3: kusoma, kuandika na kuhesabu.
5.2 Tume ya Mhe. Waziri Mkuu ifanye kwanza REJEA ya maandiko ya Wizara ya Elimu niliyoyataja akatika 4(a) na (b) hapo juu yaliyomo maboresho ya elimu ya 2002-2005 yaliyofanikisha kufaulu vizuri katika Elimu ya Msingi na Sekondari miaka ya 2004-2007; badala ya kutumia muda mwingi na fedha n=yingi kugundua upya gurudumu.
5.3 Taasisi ya Elimu Tanzania ( Tanzania Institute of Education –TIE) iagizwe na iachiwe kutekeleza wajibu wake wa kisheria chini ya Sheria ya Elimu ya 1995 wa kuandaa na kuboresha mitala.
5.4 Wanasiasa tuache kuamua bila kuzingatia ipasavyo utafiti na ushauri w kitaaluma kuhusu Elimu ya Taifa letu.

Kutokana na uamuzi mbaya na kuchelewa kuchukua hatua ya marekebisho kila inapobidi; Elimu yetu imerudi ilikokuwa kabla ya mwaka 2000. Rika zima la kielimu limepotea!!!sasa tunavuna kilichopandwa vibaya. Kwa hiyo TUJISAHIHISHE kwa kuacha kuingilia na kuamua bila kuzingatia utafiti na ushauri fwa kitaaluma ili tusije kuumbuliwa tena na matokeo mabaya kama hayo ya kidato cha Nne ya mwaka 2012. Aidha inafaa matokeo ya mitihani yawe yanatangazwa kwa uwazi hata kama ni mabaya kwa sababu, narudia “ anayeficha maradhi kifo kitamuumbua”

Wasalamu

BARUA Joseph J Mungai MB mstf
MDAU WA ELIMU

Advertisements

CHINUA ACHEBE HAS FALLEN APART: BURIANI CHINUA ACHEBE

Prolific writer Chinua Achebe, the author of well renouwn and sold novel things fall apart has falled this year. His actual name was Albert Chinualumogu Achebe He was born on 16 November 1930. The author has dies at the age of 82 in

Boston Massachusetts, USA. It is said more than 10 million copies of the book have been sold globally.  Other books that he has authored include

  • No Longer at Ease (1960)
  • Arrow of God (1964)
  • A Man of the People (1966)
  • Anthills of the Savannah (1987)

R.I.P. We know you rejected death

Chinua Achebe Mwandisho maarufu wa Fasihi Afrika Afariki dunia katika umri wa miaka 82 huko Boston Marekani alikokuwa akiishi. Mwandishi alieandika riwaya na tamthilia mbalimbali na machapisho mengi atakumbukwa sana kwa kazi yake ya Things fall apart ambayo imeuza zaidi ya nakala milion 10 duniani kote. Kitabu hiki kimefasiliwa katika lugha zaiidi ya 50. Ameandika pia vitabu vingi kama hivyo hapo juu. Twakumbuka alikataa kifo kwa matendo tendo hilo litamfanay aishi milele.

chinua achebe

Is Mr. President Joking or Kidding??? Rais Anatania?????

The President of Tanzania has declared water crisis in Dar es Salaam to be a history.

Repetitively the president is declaring the matter to the residents of Dar city.

1. Early 2010 when he had an official visit on the city, he proposed that water crisis would be over before 2013.

2. On 27 October 2010 promised water crisis will end by the following year (2011, there was good help from our uncle USA and Norway)

3. On 21st March 2013 He promises the problem will be solved next year (2014). This is on another special visit of Dar. It happens less than a week since John Mnyika (MP) mobilized the residents to demonstrate for water demand.

I am just curious whetherMr. President, Honorable, His excelecy, Dr.  JK is serious?? mocking?? or what exactly is he doing??? By the way what is History?? what does he mean when talking making it a history?? Is it not that the crisis will dominate our history and life???

Nauliza tu mie

Rais ameahid maji kuwa historia kila mara kabla ya uchaguzi na baada ya uchaguzi ameendelea kuahidi maji kuwa historia walau nakumbuka mara tatu hizo. Au hatujui maana ya kuwa historia au tunashindwa tafsiri anachomaanisha??? pengine Mhesimiwa Ndugu Rais Dokta JK anatuahid hili litakuwa sehemu ya historia ye Jiji la Dar ktk maiha yetu yote. Nauliza tu mwenye jibu atupe

UTAFITI WA NINI TANZANIA???? Research!!! For What??

The president of Tanzania Jakaya Kikwete is asking researchers to undertake serious scientific researches. am wondering how will that be possible while the research budget is <1% of GDP. but again for what are they needing research while is not part of their planning??
He said it as He visited agriculture research Institute in Mikocheni. I am just asking