Monthly Archives: June, 2011

MAPACHA WATATU???? BOIZ II MEN WAPI???

si mumesikia juu ya mapacha watatu??? hili ni kundi la wasanii hapo Dar si la siku nyingi sana si mwajua lipo mitaa ya tabata???? ahhhh oppssss nilitaka kusema wa wajua kundi lile la BOYZ II MEN??? wale wasaaanii wa mamntoni???

ayyaaaa si maaanishi hao naaamanisha wasanii wanasiasa wetu!!!!!

kumbe hii ni nchi ya wasaniii tu??? si wakumbuka Boyz IIMEN???  KUNDI LA WASNII WA MAMTONI LILIPO AMUA KUWA  viongozi wa nchiii????Kiklwete na lowasa kundi hili la wasanii lilikufa lini??? ahhh kumbe walijiita wenyewe boyz to men??? sijatua kama kundi hili halisi limekufa kule mamtoni toka mamtoni hadi kuwa rais wa hapahapa na sasa kuna kundi la Mapacha watatu. sijajua kwa nini huyo amehama boyz to men na kuingia ktk kundi la wasanii wa muziki wa mapacha watatu. halafu niambieni uhusiano wao upoje??? kwani kunabifu kati ya makundi hayo mawili ya BOYZ TO MEN NA MAPACHA WATAU??? AU WANAPIGA KOLABO ILI KUTUZUGA??? mi nauliza tu

Advertisements

kwenye miti hakuna wajenzi au utunzani wa mazingira????

jamani hapa kuna kitu kama hicho ila sijui kama nichenyewe. shule ya msingi Mtula  wilayani Mufindi haina madawati watoto wanakaa katika matofali. jamani si mwajua Mufindi iliyo maarufu kwa miti na ule msitu wake wa SAOHILL???

kwa taarifa yako shule hii ipo pale kijijini ambapo vitaru vya msitu huu huandaliwa. Ukweli watoto kibao wanakaa chini mwaisemaje hii au ndo kwakuwa wanatunza miti hawataki kata miti??? au ndo ile lisemwalo kwenyemiti hakuna wajenzzzzzzzziiiiiiiiiiiii??? mi nauliza tu jamani

samaki?

 wapendwa wanaaandaa kitoweo cha samaki hapa kwa njia ya moshi

cheki mambo ya maandalizi maeneo ya mito na maziwa. hii ni Namawala kijijini huko Kilombero