Monthly Archives: October, 2010

Mawe matatu????? THREE STONE ISSUE

MAWE MATATU ISHARA YA USHINDI NA NGUVU ZA MBUNGE MWAZA. Angalia mawe hayo yalivyo makubwa yamejengwa kwa nguvu za mikono ya binadamu, unaweza angalia nguvu za viongozi wetu, hawa wanaweza sema jengeni uwanja wa taifa kwa mikono na mkajenga viongozi wetu waleo nivipi???

mawe umeona mstari wa maweee anaglia kwa makini saruji iliyotumika kujengea mawe hayo mawe haya hayaja suka ni nguvu za watu hizi

this is the power of leadership. As I was passing nad wondering the buty of nature around the interlacustrine region especially in the Tanzanian Part, I came accross the story of three stones. It is a bit cazy wondering or possing questions about rocks in Mwanza city as popularly known as ROCK CITY. In this idiot thinking is where I got this story. I note there is order of rocks in some plases epecially areas of Malimbe, Nyegezi, makuyuni and Buhongwa. it asking this I came to realise that there was an influencial leade Member of the Parliament who identified himself as THREE STONES. I noted there were two to three stoned placed above the other anf enforced my cement mota. the answer was that was his power that no body will overpower him. after every election the MAWE MATATU  will distribute bags of cement to different villages. the villagers will have to construct those land marks befor his visit. in his visit the brews  and food will be prepared for him as the elected MP. that is the story behind. I am still asking why he managed to controll many people that way? I am afer the name of the MP and his history. One day yes You will get his name and his comprehensive history.

Advertisements

KILIMO KWANZA AGRICULTURE FIRST

angalia mhogo huo toka Mkuranga wahitaji mbolea za kilimo kwanza huo???

KATIKA suala zima la Kilimo kwanza wakubwa wetu wamekazana sana naMapawa tila na mbolea za ruzuku nikweli ndo kitu tunacho hitaji???

Do tanzanians need the power tillers and subsidised fertilizers. what is the central problem of farming in Tanzania? Do you remember late 1980s the contry had suplus production? where did the effort end? Do such products from farms in tanzania see the bunch of banana from bukoba and casava from Mkuranga. do they need fertilizers? Leaders!!!! Please leaders tell us the reality!!! is it not the market that impeds agriculture in TZ. what is it?? you just add the debt baden without fighting with the real enemy of angiculture. We need these crops to access the market. I am jusk asking the wise people may satisfy us with answers we pray

Mkungu huu nipe elfu tano tu nitashukuru!!!!

Haya ndo mambo ya kilimo bila kilimo kwanza, angalia ukubwa wa mkungu wa ndizi huko Bukoba, tunahitaji kuboresha soko hili

ajali hizi mpaka lini jamani??? when will the axidents end?

ona gari hii iliwapita jamaa hawa kwa spidi kubwa kuliko mmaelezo halafu bila jambo kubwa barabarani wakawa chali pale njiani kuelekea Bagamoyo ukitokea dar

HOFU YA JWTZ INATOKA WAPI????

Ijumaa ya tarehe 1 Oktoba 2010 imekuwa siku ya kushangaza sana. niyakushangaza kwakuwa ni siku Jeshi la wananchi tanzania lilitoa taarifa inayohusu kugoma kukubali matokeo ya uchaguzi ujao. Kinacho shangaza pamoja na rapcha za hapa na pale umma haujaona kuwa uchaguzi wa mwaka huu utakuwa na vurugu. vurugu hizo hatuzioni hasa tukulinganishwa na miaka mingine.

tunashangaa kwakuwa hali imeendelea kwa utulivyu tuliouzoea haija fikia hata kidogo na ile hali ya Tarime ktk uchaguzi mdogo baada ya kifo cha Chacha zakayo wangwe Mbunge wa CHADEMA. haijafikia hali ya vuguvugu ambalo huikumba zanziba  ktk chaguzi zilizopita. Ninini kimetokea hapa???

JWTZ wametoa tamko kali sana na kutishia hakuna umwagaji damu utatokea. ni nini hicho??? Hofu hii inatoka wapi??? Kilichofanyika na Mnadhimu Mkuu wa wajeshi Lt. Shimbo ni kutishia umma. Hatuoni mantiki ya tamko hilo aidha hata kama kungekuwa na haja suala hilo tunaamini lingezungumwa na Jeshi la polisi sio jeshi la wananchi wa Tanzania.

Hapa tuna mashaka Chama tawala kinahofu kubwa sana mwaka huu kushindwa ktk uchaguzi. na kwakuwa kimejaribu kuweka uwanja usio sawa wa demokrasia lakini bado wengine wanahangaika kufanya kitu kizuri kwa umma. kwakuwa hawaja jiandaa kutoka Ikulu, kwakuwa chama dola kinadhani kina hati miliki ya ikulu na kutawala milele ndo mana nadhani hapa hofu imewabana sana. Nadhani upepo haulelekei wanakotaka HOFU IMEZIDI. nadhani wamejiandaa KUFAULISHA KURA kwa mtindo ambao wanaamini raia hawata kubali na kutaka kudai haki yao ndio maana sasa wameamua kutumia majeshi yote. ukizingatia tena wafanyakazi wale ambao kura zao zilikataliwa hawana hamu tena ya kushiriki kuipa CCM ushindi rahisi kama ilivyokuwa hapo nyuma.

HII NCHI NI YETU SOTE HAKUNA MWENYE HAKI MILIKI YA MILELE YA TANZANIA. HII NI NCHI YA WATANZANIA WOTE tusitishane tuelekezane na kusikilizana. mnaweza tu amua kusiwe na uchaguzi, bakini tu madarakani mpaka mtakapotaka msitupe geresha ya kupiga kura wakati mumesha amua nani awekiongozi wetu. kaqma sivyo hofu na vitisho hivi vyatoka wapi??? mie nauliza tu mwenye majubu anipe tu