Monthly Archives: July, 2010

NANI NI NANI?nani anabusara ya kutunza maoni???? MNATUZUGA TBC: Is TBC muting freedom of press by conducting a survey??

HAWA TBC wanatucganganya mbaya have seen these guys are making a survey on who will pass pby voting through mobile phones.

the qustion here is that TBC is the government establishment. The phone have been registered so they are known by names!!!! Do you know what will hapen by this process??

serlikali imesajili simu, huku TBC wanataka tupige kura eti utampigia nani ktk uchaguzi je wakitally hizi taarifa tutapona hapa bongo??? ninahofu taarifa za simu zetu hatitatumika kwa mafaa zina wezatumika kwa makusudi binafsi na kutendewa tofauti na uhuru wa watanzania huru. Uhuru wetu upo wapi??? TBC tuangalieni hapo. Nani mwenye akili timamu ya kutuliza silaha za maangamizi. tuna mashaka na hapa twahji juu ya usalaam na uhuru na haki yetu na uhuru kwa kujieleza

Advertisements

waiona hii wasemaje?

tshirt imebeba maneo haya nadhani yale ambayo yaliayasema mkuu wa kaya kuwa haitaji kura za hao

the photo was noted to be circulated to a number of people over the last week through mail, groupmails and internet communities and fora. the message on the tshirt is “I dont need workers vote”.

 

Kwa wiki moja sasa Barua pepe zimekuwa zikizunguka katika majukwaa yasio rasmi ya mitandao ya wavuti yenye picha hii. Katika barua pepe hizo watu wamekuwa wakihimizana kupitisha ujumbe huu kwa wafanyakazi na jamaa zao.

Hatuna uhakika kama hii tshirt ni aina ya tshirt zilizo tengenezwa kwa namna ya pekee kwa kumuuza mdau huyu katika kampeni yake??
Kilicho wazi nikuwa Kuna sentensi inyofanana na hii ilitolewa na Mwenyekiti wa CCM na rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa hawezi ongeza mshahara wa wafanyakazi kufikia kima cha chini cha takribani laki tatu. Akasema hilo haliwezekani huku ikaonyeshwa pia mahesabu aliyopiga hayakukubalika kuwa gharama ya kulipa mishahara yake. haita wezekana hata kama wasipo mpigia kura na kura zake wamyime. Aidha mishahara ilivyopandishwa ikathibitisha kuwa alilosema rais mishahara haitawezekana kupanda kwa kiasi hicho.  watu tunahoji ktk hilo pia JK anaringia nini kitamrudisha Ikulu? kama amekataa kura za watu laki nne na nusu?? ambao kimsingi pamoja na marafiki na wategemezi wao. je mwakumbuka Tonny Blair alienda kumuomba msamaha mpigakura mmoja ambaye alimwambia hatampigi kura. kwanini hapa kwetu divyo sivyo??
nadhani Bendera ya CCM itakuwa na JEMBE TU badala ya JEMBE NA NYUNDO kwakuwa CCM ya JK haiwatambui wafanyakazi. je atatumia uelewa na mwamko mdogo wawakulima na wananchi wengi ili ku

unleveled groung hard to sail through

it has been a case for many years that democratic election will continue to be a night mere in tanzania because the political groung is not level. it does not provide equal oportunities for all parties despite the enactement of the Election Act at the begining of 2010.

pamoja na muswada kusainiwa kwa mbwembwe na badae kuonekana kuna makosa bado hatakama usingekuwa na makosa uwanja haupo sawa.

mimi nahoji ni nini hicho ambacho cha makusudi kufanyika kuweka dhuruma pembeni na bado hakuna anyejali???

Nani ameangalia kwa makini umasikini uliopo katika vyama. Je nikweli watu wapo CCM kwakuwa ni chama chenye mwelekeo na siasa safi?

Nani amehoji vyanzo vikuu vya mapato vya CCM? Je CCM inauhalali gani wa kumiliki yale majengo yanayoitwa ofisi za CCM? Je hazikujengwa na watanzania wote kipindi cha chama kimoja? inakuwaje majengo hayo yawe majengo ya CCM?

Je CCM inapata wapi uhalali wa kumiliki viwanja vya michezo hapa nchini? Je havijengwa na kodi za wananchi wote? nani asiejua kama viwanja hivi huleta mapato mengi kwa CCM?napengine ukarabati wa viwanja hivyo unafanywa na kodi za watazaia hadi leo.  je mwakumbuka sakata la mwakajana pale Iringa wakati ilipotakiwa baraza la madiwani lipitishe fedha za kukarabati uwanja wa Comrade Samola Machel na kuleta mzozo eti haliopinga sio wapenda maendeleo!!!! utawala bora utatoka wapi?

je zile shule zinazoitwa za TAPA ambazo jumuiya ya wazazi wa CCM imeshindwa kuziongoza zilijengwa na wazani wa CCM pekee. inakuwa leo shule hizi zilizojengwa na wananchi wote zihamishiwe ziuziwe wananchi tena kwa kupitia serikali na bila hata wasiwasi inasema hiyo ni kwaajili ya kuinusuru jumuiya hiyo. Utaupata wapi usawa??

Je kwanini mali hizi zisingerudishwa zote serikalini ili vyama vyote vianze moja? au je kwanini majengo yale yasingegawiwa kwa vyama  vyote ili vyama vyote vianze na mahali fulani. naamini kuna vyama vingi na vizuri tanzania ambavyo vina sera nzuri isipokuwa vinahangaikia kupata fedha kwajili ya kuwafikia wana nchi??? wakati CCM ikitumia mali tulizo chuma wnanchi wote kuwafikia wale wachache walio wao.

kwa mantiki hii hatutataraji kuwa na uchaguzi huru kwa miaka mingi ijayo

nani anajua CCM ililipa wapi pesa za kujimilikisha maeneo ya wazi yaliyo mengi hapa nchini? kwanini

Sasa ni Rukwa

kama ilivyokuwa Mkoani Mbuya sasa ni Mkoani Rukwa. wanafunzi wa UDOM tena wanalia kwasababu hawana bumu wakati wapo kituo cha mafunzo kwa vitendo kwa zaidi ya wiki tatu sasa.  mie sina lolote zaidi nadhani hii ni faida yakuwa na sera za mjomba na kutopenda ushirikiano ilikufuatilia masula yanayowahusu. kazi kwenu mie sijui nauliza tu kama haya ndo maisha bora au boras maisha kwa kila mtanzania???

vituko vya wagombea

jana Shyrose banji akiwa ktk misele yake ya kuusaka ubunge huko mitaa ya Kinondoni alipiga magoti kwaomba kura wanachama wenzake isitoshe alijifagilia kuwa yupo bomba sana anavutia anaetaka kumwoa ruksa kutangaza nia. duhh kwahiyo huyu dada katangaza nia mbili?? za kuolewa na ubunge?? lakini nae mara Kigamboni sasa kinondoni haya bibie wale wasanii wameishia wapi.

Mh shamsha Mwangunga hakuwa nyuma nae alipo piga magoti pande za Makuburi hukohuko Dar ktk kuwania Ubunge wa Ubungo. Huyu mwanasiasa nae akapiga magoti akiomaba kula/Kura. hawa majamaaa wangekuwa wanyenye kevu hivi kama walivyo tangazwa du nadhani jamii yetu ingekuwa juu sana rushwa, kelele za utawala mbovu na sheria kandamizi zisingekuwapo.
huyu mama amesahau kabisa pindi anawasema mbaya wale kule serengeti watoke. ohhh nadhani hakuwa ktk kuomba kura ehhh??? unyenyekevu unatokana na kuomba kula ehhh ohhh no namaanisha KURA.
halafu si kunaetieti kuwa huyu waziri akishirikiana na wenzake wana muhujumu dogo yule wa UVCCM? ahhh si nape Mnauye?? au sio kweli? nilifikiria kama ni kweli huyu mama atakuwaje myeyekevu kwa huyu wakati anapiga rafu kwa mwingine?? nivimbwaga na maswali nadhani tutashuhudia mengi mwaka huu. si munakumbuka yule mbunge alie mwaga shikamoo kwa watoto mbele ya Mzee Pinda waziri Mkuu?? kazi ipo Lakini hayo yote yanini?? Kunanini huko Bungeni?/

Bodi ya mikopo na matatizo ya wasomi wa UDOM

Wanafunzi wa chuo kikuu cha Udom wamekuwa ktk wakati mgumu san baada ya Boad kutotoa pesa ma mafunzo kwa vitendo. Wanafunzi hao walikutana shule ya Sekondari Meta leo tarehe 14/07/2010 wakiimba wimbo maarufu wa maombolezo ya Baba waTaifa. Kama sio juhudi zako Nyerere…. kamasio juhudizako nyerere….

Sisi tunahoji azma ya bodi ya mikopo ni kujenga mazingira mazuri ya kujifunza au ndo kikwazo? Tunaona migogoro na migomo imeongezeka hadi katika taasisi binafsi tangu kuanza kwa tasisi hii ya mikopo.

Pia hivi hawa UDOM si ndo wale walio mchangia Rais fedha za formu ya urais ndani ya CCM? Je sio hawa walioona JK ndio suluhisho la matatizo yote kimsingi JK amefanya kilakitu zaidi ya matakwa yao……. iweje leo wanalia wakimkumbuka Mwalimu Nyerere???? Hapa wanatuchanganya sana haytuelewi wanachosimamia wasomi hawa.

Au bodi walipoona hawa wasomi baada ya kutumia bumu kwaajili ya masomo wakaamua kupigia politic Boadi imetaka kuwafundisha somo???? Ohh no  Rais ndo ameweka Bodi sasa bajeti ya bodi imeenda wapi mpaka manteletual hao walie njaa? Wamepanga kwenda kumwona Mwakipesile Mkuu wa Mkoa kumwomba nauli.

Je suluhisho la matatizo haya ndo kuwa na benk za biashara zinazotoa mikopo kwa wanafunzi nchini?? Benku ya nani? Kwaajili ya nani? Riba kwa manufaa ya nani?

KAMPENI ZA KISTAARABU??????

Mzee wa vipaumbele. Mgombea Urais kwa tiket ya CCM Zanzibar Mheshimiwa makamu wa rais Dr. Ally Mohamed Shein, ametoa kipaumbele chake cha kwanza kuwa kampeni zake zitakuwa za kistaaraabu!!!

Sie kutahamaki na kung`aka alas kumbe miaka mingi hakukuwa na kampeni sa kistaarabu?? Nani hakuwa na kampeni za kistaarabu? Bila shaka zitakuwa za CCM ndo maaana ameanza mapema kuwaambia wenzake ili ashinde hatatumia kampeni za kishenzi (Kinyume cha ustaarabu). Kama sio CCM ni nani? Wapinzani?? Kama wapinzani Selikali ya CCM ilikuwa wapi? Selikali imekuwa ikiweka uwanja “sawa” wa ushindani!!! Kama ndivyo yanini kuwaweka hawa jamaa wasio weza kuweka ustaarabu ktk uchaguzi? Kwakuwa CCM imeongoza tangu huko miaka ya sabini, na kama hi indo stail yao mhhh how can you teach the old dog new techniques??? Sie tuna hoji tu nyie mwaweza tusaidia sie tuna mashaka katika hili ndio maana tunauliza tu ilitufahamu .

SASA NI RASMI SERIKALI YABWAGA MANYANGA KUSOMESHA

Waziri wa elimu mh Prof. Maghembe ametangaza bungeni kuwa selikali ipo katika hatua za mwisho za kuhakikisha mikopo ya elimu ya juu hutolewa na Benki za biashara nchini. Hii imekuwa dhairi sasa wakati wanafunzi na jumuiya ya chuo kikuu cha dar es salaam mwaka 2004 wanagoma kupitisha muswada wa kuanzisha bodi ya mikopo walidai serikali inajitoa kusomesha wananchi wake wakati ingeweza somesha wote bure kabisa bila mikopo. Selikali ilipinga hilo sasa miaka sita tu hali ipo wazi kazi kwenu wananchi.

Hapa tuauliza tu mikopo kutolewa na benki za biashara sisi tuliotoka ktk Kanumba Academy na familia za kafie mbewle tutafika Vyuoni??? Nadhani elimu ya juu itakuwa anasa kwa walio wengi muda simuda.

Swi mnafahamu wangapi wameacha masomo kwa hili la mikopo kwa muda huu??? Si mwajua  kuna wengi wamepewa mikopo wakati hawastahili wakati wahitaji wameachwa nje??

HAYO YALIFANYWA NA  taasisi isiyo hitaji faida ni ya selikali, itakuwaje kwa taasisi ya biashara?? Yale masuala ya dhamana na riba yaliyo ktk sheria ile sasa nadhani ndo mahali pake. Mie nauliza tu mwaweza jibu napengine toa taarifa tofauti.

Wakusoma nae Atangaza nia

Mwenye shati ya kijani Pichani ndiye aliye jitangaza nia ya kuwania ubunge CCM Ludewa- picha akiwa maelezo- Majira

Habari zilizojili kupitia vyombo vya habari nikuwa mwanafunzi wa mwaka wa kwanza wa Chuo kikuu cha Dar es Salaaam sehemu ya mlimani Zakayo Mepuyinywe ametangaza nia ya kugombea ubunge ktk jimbo la ludewa katika mkoa mpya wa Njoluma kando ya Ziwa Nyasa.

Ikumbukwe kuwa Mbunge wa sasa wa jimbo hilo ni Profesa Rafael Mwalyosi ambaye pia alikuwa Prosefa wa chuo hichohicho na hatatangaza kutoendelea.

hapo sasa mwalimu na mwanafunzi wake waenda kuchuana. kazi kwao wapigakura wakiamua kumchukua mwalimu au mwanafunzi. lakini kuna Deogratius Haule filikunjombe pia nae ametangaza nia ya kumg`oa Profesa.

Swali la kujiuliza kunanini Ludewa??????? watuhawa wote watatu na wengine wengi wenye nia au ambao watatangaza nia wanania ya dhati kutumikia wananchi??? Au kuna biashara huko??? sie tunahoji tu wajibu wakupima ni wa wanaludewa wenyewe.

Profesa mwalosi anawaonaje hawa wanaoitwa mavuvuzela wanaoongezeka????? mie mhhhh kazi kwenu nadhani Mtikila atatangaza nia tu sijui. anyway kazi kwenu CHAGUENI KILICHO BORA KWENU SIO KWA CHAMA.

Uchaguzi wa wagombea wa CCM

tangu tarehe 10 kumekuwa na heka heka wengine wanaita CCM congress, wengine wanaita CCM concert. Mkutano au tamasha full of mipasho na vijembe ndani ya chama chama chenyewe na nje ya chama.

enewei, mwisho tumepata yale tuliyo taraji kuwa kuwa na wagombea uongozi wa nchi kupitia CCM.

Juma mosi tarehe 10/7/2010 walituleteoa Dr.Ally Mohamed Shein kama mgombea Uraisi kwa tiketi ya chama hicho kwa Zanzibar

Jumapili ya tarehe 11/7/2010 wametuletea Jakaya Mrisho Kikwete kuwa Mgombea Urais Wa Muungano kwa awamu ya pili.

siku hiyohiyo walitutangazia Dr. Gharib Bilali kuwa mgombea mwenza.

sie wenye mashaka tunahoji hayo ndio maamuzi wa watu walioamua kwa hiari yao bila shuruti kwa maslahi ya taifa wakidhani hawa ni wawakilishi wao ambao watalinda maslahi ya taifa. hoja ngumu lakini wengine wanauliza maslahi ya taifa ninini??

huu ni mwanzo karibuni tuhoji zaidi